Tuesday, November 20, 2007

Zali lamuangukia Misifa!


Kwa mara kwanza watanzania waishio Uholanzi (Holand),Germany pamoja na Ubelegiji (Belgium) watapata nafasi ya kumtia machoni msanii Dully Sykes (Mr Misifa) anayetamba hivi sasa na songi lake 'Baby Candy'.
Taarifa iliyotufikia kutoka kwa Gadi Promotions ambao ndio waandaaji wa kamuzi hilo....ilisema kuwa Dully ambaye amejiandaa vya kutosha atakamua tarehe 30 November 2007.....kwenye show litakalofanyika Party Centrum Wesseling, Houttuinenstraat 26, Delft 2611 AJ.Taarifa hiyo iliwataja madJ watakaosimamia show hiyo kuwa ni DJ Erick Barack(East African Sound-Kenya) na Dj Zouk kutoka (West Africa-Guinee).Haya sasa wabongo kazi kwenu...kila siku mnalalamika ohh mbona hamji mbona hamji! tunakuja sasa hahaha

1 comment:

Don.C said...

MISIFA nenda na baby candy mkawadatishe wadachi