Okoa Hiphop Tour!
Katika hali inayoonyesha wasanii wabongo wameanza kuonyesha mshikamano wa hali ya juu ktk kuhakikisha wanaokoa ajira yao ya muziki,msanii Adili a.k.a Hisabati akishirikianana wenzake wameanzaa Tour nzito itayojulikana kwa jina la 'OKOA HIPHOP TOUR'.Akiteta ndani ya ofisi zetu akiwa amefuatana na baadhi ya wasanii wataokuwa kwenye tour hilo, Adili ambaye jina lake kamili ni Adili Nkwela alisema Tour hilo litakwenda sambamba uuzwaji wa DVD iitwayo 'Okoa Hiphop Vol 1' itakayokuwa inaelezea historia ya hiphop ya Bongo tangu mwanzo mpaka ilipofikia hivi sasa pamoja na video kadhaa ambazo zingine hazijawahi kuonekana kwenye vituo vya luninga.Akiendelea alisema pia watakuwa na DVD ya pili itakayoitwa 'Live Shows DVD' ambayo ndani yake itakuwa na footage zote kuanzia wakiwa Backstage,wakiwa njiani wakisafiri,wakiwa wamelala na mengine mengi ya kufurahisha.

No comments:
Post a Comment