Saturday, November 24, 2007

HATIMAYE KIJANA MGAYA AFARIKI

Yule kijana Emmanuel Mgaya aliyefanyiwa upasuaji wa mguu kimakosa kabla ya kufanyiwa tena wa kichwa amefariki dunia. Ni vilio na majonzi kwa ndugu na jamaa. Uzembe huu utaendelea mpaka lini? NI BORA SERIKALI IKAWAFUKUZA KAZI MADAKTARI HAWA ILI IWE MFANO KWA WENGINE

No comments: