Tuesday, November 20, 2007
KUHUSU RAIS KIKWETE KUMTEUA MH. ZITTO KABWE KWENYE KAMATI YA UCHUNGUZI WA MIKATABA YA MADINI
Ni jambo lililowaacha watu wengi midomo wazi hasa wale wa chama tawala baada ya raisi kikwete kumteua mtu anayeonekana kama shujaa wa taifa Mh. Zitto Kabwe katika kamati ya kuchunguza mikataba ya madini. Kama wanavyosema waswahili kwamba mchawi mpe mtoto akulelee ndivyo watanzania wengi wanavyotegemea bwana Zitto kufichua mambo. Ni ukweli usiopingika kwamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment